Sajili biashara yako BRELA kwa urahisiRegister your business with BRELA, the easy way
Chagua unachosajili, kisha jaza taarifa zako hapa kwenye simu. Sisi tutashughulikia usajili wote BRELA na kukujulisha kila hatua.Choose what you are registering, then fill in your details here on your phone. We handle the whole BRELA registration and keep you posted at every step.
KampuniCompany
Kampuni (LIMITED): wakurugenzi na wanahisa wawili au zaidi.A company (LIMITED): two or more directors and shareholders.
Una majibu ambayo hujatuma bado.You have answers you have not sent yet.
Anza →Start →Endelea ulipoishia →Continue where you stopped →Jina la biasharaBusiness name
Biashara ya mtu mmoja (mmiliki mmoja), mfano duka, saluni au huduma.A business owned by one person, e.g. a shop, salon or service.
Una majibu ambayo hujatuma bado.You have answers you have not sent yet.
Anza →Start →Endelea ulipoishia →Continue where you stopped →UbiaPartnership
Biashara ya watu wawili au zaidi, pamoja na hati ya ubia (partnership deed).A business of two or more people, with a partnership deed.
Una majibu ambayo hujatuma bado.You have answers you have not sent yet.
Anza →Start →Endelea ulipoishia →Continue where you stopped →Huna jina bado?No name yet?
Tengeneza jina la biashara: kwa wazo lako, neno la mwisho unalotaka, au kwa kuunganisha majina mawili.Make a business name: from your idea, the ending you want, or by joining two names.
✨ Tengeneza majina →✨ Make names →Huduma nyingineOther services
- Usajili wa alama ya biashara (Trademark)Trademark registration
- Leseni ya biasharaBusiness licence
- TIN ya biashara (TRA)Business TIN (TRA)
- Mabadiliko ya kampuni (wakurugenzi, hisa, anwani)Company changes (directors, shares, address)
- Ritani za mwaka (Annual returns)Annual returns
🔒 Taarifa zako zinatumika kwa ajili ya usajili tu, na hazichapishwi mtandaoni.Your details are used only for the registration and are never published online.